Pages

Monday 15 June 2015

Mufti Mkuu Shekh Issa Shabani Simba Amefariki Dunia


Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

Habari zilizotufikia muda si mrefu ni kwamba Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh Issa Shabani Simba Amefariki dunia, leo asubuhi.

Mufti Shekh Issa Shabani Simba, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Kisukari kwa muda mrefu kidogo. Kabla ya kufariki, Marehemu Muft Simba alikuwa amelazwa kwenye Hospitali ya TMJ Mikocheni na alikuwa amefanyiwa operasheni ndogo kabla ya umauti kumkuta.

Taarifa zaidi zinasema kuwa, Mazishi ya Mufti Simba yatafanyika leo baada ya Swalat dhuhr shambani kwake uko Kigamboni.

Kwa wale wote watakaopata nafasi basi wanaweza kuudhuria Msibani nyumbani kwake Mikocheni, jijini Dar es Salaam.

--DUA'A
Ewe Mwenyezi Mungu  hakika Issa Shabani Simba yuko katika dhima yako na kamba ya ujirani wako, basi mkinge na fitina ya kaburi na adhabu ya moto nawe ndiwe mstahiki wa utekelezaji na ukweli, basi msamehe na umrehemu hakika Wewe ni mwingi wa kusamehe, mwingi wa kurehemu.

Tuesday 11 November 2014

Sheikh Othman Maalim Akibadirisha Tairi ya Gari

 
Wakiwa Njiani Dereva Akiziba Pancha

 
Sheikh Othman Maalim Anaonekana Akitoa Maelekezo Jinsi ya Kubadirisha Tairi.

 
Sheikh Othman Maalim Akimwelekeza Dereva kwa Vitendo Jinsi ya Kubadirisha Tairi

 
Sheikh Othman Maalim Akimwelekeza Dereva kwa Vitendo Jinsi ya Kubadirisha Tairi

 
Akibadirisha Tairi ya Gari
 
Sheikh Othman Maalim, Akifunga Tairi Mpya

Wakipokewa na Wenyeji wao


 
Wakipokewa kwa Dufu

 
WAkipokewa na Wenyeji
  
Akipata Maelezo Kutoka kwa Msheikh Wenzake

Muhadhara Ukiendelea

Friday 7 November 2014

Zihara za Sheikh Othman Maalim Mikoani








 
Sheikh Othman Maalim Akizungumza na Watoto Yatima Kondoa

 Sheikh Othman Maalim Akizungumza na Watoto Yatima Kondoa 

 Msikiti wa Ijumaa Kondoa